bintimzalendo
Member
- Feb 27, 2014
- 74
- 30
Nauza samaki sato na sangara jumla na rejareja hapa jijini Dar. Natafuta tenda za samaki eneo lolote Dar, mahotelini, maofisini, mashuleni na hata kwa wafanyabiashara wa reja reja (wenye mabucha ya samaki)
sato8000, sangara7000Rejareja kilo sh ngapi sato au sangala?
Mi nikaangie kabisa
Duka lako lipo wapi?
Duka lipo mbagala, pia nakaanga kwa order na kupeleka maofisin na majumbani
Bei ya jumla jumla ipo poa, unaweza kuleta mzigo wa kilo ngapi kwa wiki?
sato8000, sangara7000
Rejareja kilo sh ngapi sato au sangala?