Niko dar kaka..kama vipi tuwasiliane
mkuu nauza sangara wabichi na kambale,bei ni 4800 kwa kilo mkuu
uko dar madukani kaka?Niko dar kaka..kama vipi tuwasiliane
mkuu nauza sangara wabichi na kambale,bei ni 4800 kwa kilo mkuu
Nauza samaki wabichi kutoka Mwanza karibuni wadau.
Sato kilo ni 6400..bei hizi ni za jumla sio rejareja.na siuzi kwa rejareja.karibu mkuu.
Tafadhali weka mawasiliano yako hapa ama nipigie namba yangu 0767 235923.Nauza samaki wabichi kutoka Mwanza karibuni wadau.