nyanda5
Member
- Nov 25, 2014
- 49
- 40
Habari wadau, nililima mihogo baridi hekari 12 na sasa ipo tayari kuvunwa, hivyo kwa yoyote anaehitaji, au kama unafahamu wapi wananunua naomba kujua wapi wananunua. Hata kama sio kwa mzigo mkubwa biashara inafanyika tu, ukihitaji nikusafirishie hadi kwako pia nipo tayari.