Natafuta soko la mayai ya kwale

KIZURI CHAJIUZA KUBAYA CHAJITEMBEZA.............hadi unaaandika humu ni kwamba umekwama, je unajua maana ya hiyio methali.....?
 
Pole sana.. Soko lishakwama..
Hakuba kitu kibaya kama kushindwa kupanua mawazo, mimi nina Idea nyingine ya hawa Kwarw na soon ikiingia sokoni hutaamini, Kware wana matumizi mengi sana ni kwa bahati mbaya tunajua tumizi moja tu very sad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom