Natafuta soko la mahindi

Natafuta soko la mahindi

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
Wanajopo natafuta soko la mahindi popote Tanzania,mi niko Dodoma nina mahindi kama gunia 200 mwenye kunisaidia soko nikayauze.ajira hakuna nimeamua kujijiri mwenyewe
 
Mahindi mwaka huu sio biashara wakulima wamepata mazao lakini soko hakuna.mahindi ya dodoma yanauzwa 300 kwa kilo.tanga 150.morogoro 200.imekua hasara kwa wakulima. Wafanya biashara wakubwa hawawezi kununua bado wana stock ya mwaka jana.
 
Wanajopo natafuta soko la mahindi popote Tanzania,mi niko Dodoma nina mahindi kama gunia 200 mwenye kunisaidia soko nikayauze.ajira hakuna nimeamua kujijiri mwenyewe

unauza gunia sh ngapi?
 
gunia kwa 50000 kama uko tayari tutaftane
 
Back
Top Bottom