Habari za mchana ,Kwanza Naomba nisahihishwe spelling za kuroilers kama nimekosea
Pili wapi naweza pata soko la jumla kwa kuku aina ya kuroilers,wapo kuloires 65+ nimejaribu kuzunguka masokoni lakini bei zao bado haziridhishi .
delivery ipo ukihitaji kuku kwanzia watano utaletewa ulipo,bei 17,000