emmanuelsemwaiko Member Joined Nov 9, 2018 Posts 18 Reaction score 4 Dec 11, 2018 #1 Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151
Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,207 Reaction score 103,101 Dec 11, 2018 #2 Wanakuja mkuu,ila ungesema wewe uko wapi?
emmanuelsemwaiko Member Joined Nov 9, 2018 Posts 18 Reaction score 4 Dec 11, 2018 Thread starter #3 The Icebreaker said: Wanakuja mkuu,ila ungesema wewe uko wapi? Click to expand... @The icebreaker nipo Tanga mkuu ila popote pale mzigo unakuja
The Icebreaker said: Wanakuja mkuu,ila ungesema wewe uko wapi? Click to expand... @The icebreaker nipo Tanga mkuu ila popote pale mzigo unakuja
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,500 Dec 11, 2018 #4 emmanuelsemwaiko said: Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151 Click to expand... WANACHEMSHWA?
emmanuelsemwaiko said: Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151 Click to expand... WANACHEMSHWA?
T The Initiator huru JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 2,327 Reaction score 3,203 Dec 11, 2018 #5 emmanuelsemwaiko said: Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151 Click to expand... unauzaje??
emmanuelsemwaiko said: Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151 Click to expand... unauzaje??
Arista Senior Member Joined Feb 25, 2018 Posts 137 Reaction score 103 Dec 11, 2018 #6 emmanuelsemwaiko said: Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151 Click to expand... Picha zake tuone. Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
emmanuelsemwaiko said: Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151 Click to expand... Picha zake tuone. Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
emmanuelsemwaiko Member Joined Nov 9, 2018 Posts 18 Reaction score 4 Dec 11, 2018 Thread starter #7 Mwana Mtoka Pabaya said: WANACHEMSHWA? Click to expand... Yeah mkuu wazuri sana hao kiasi kidogo tu mnaweza kula familia nzima wanajaa wakipikwa
Mwana Mtoka Pabaya said: WANACHEMSHWA? Click to expand... Yeah mkuu wazuri sana hao kiasi kidogo tu mnaweza kula familia nzima wanajaa wakipikwa
T The Initiator huru JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 2,327 Reaction score 3,203 Dec 11, 2018 #8 emmanuelsemwaiko said: Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151 Click to expand... weka picha , na bei tuone
emmanuelsemwaiko said: Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151 Click to expand... weka picha , na bei tuone
emmanuelsemwaiko Member Joined Nov 9, 2018 Posts 18 Reaction score 4 Dec 11, 2018 Thread starter #9 The Initiator huru said: weka picha , na bei tuone Click to expand... Sawa mkuu natuma soon
emmanuelsemwaiko Member Joined Nov 9, 2018 Posts 18 Reaction score 4 Dec 11, 2018 Thread starter #10 Arista said: Picha zake tuone. Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app Click to expand... Natuma soon mkuu
Arista said: Picha zake tuone. Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app Click to expand... Natuma soon mkuu
emmanuelsemwaiko Member Joined Nov 9, 2018 Posts 18 Reaction score 4 Dec 11, 2018 Thread starter #11 Dagaa kuanzia kilo mia shlng 9000 kwa kilo karibuni popote mzigo unaletewa