Wapendwa wana JF naomba muongozo wenu.natafuta soko au wateja wa jumla wa nta na asali.nitafurahi zaidi nikipata wateja wanaoexport kwa ajili ya bei nzuri.kwa yeyote anayejua vizuri kuhusu hili naomba anisaidie hata mahali sahihi pa kuanzia mn nilikwenda tantrade sikupata taarifa yeyote ya kunisaidia.