Natafuta smartphone

hiyo iphon ya 20k labda nimnunulie huyu dogo hapa hom achezee game
 
Km kuna mdau anauza smartphone isiyozid sh 250000 anaweza ntafta kwa namba hii 0762192474
Kuna smartphones mbili
1. Sony experia kwa laki 2 na 80
2. Samsung s6 kwa laki 2 na 90
Niko dar
Kama uko serious nicheki kwa contact 0656 387577
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom