Natafuta Smartphone nzuri

C.Thady

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
589
Reaction score
155
Habari zenu wadau,

Nina Tsh. 320,000/= natafuta Smartphone nzuri iwe used au mpya lakini iwe kwenye hali nzuri bado.

Brand: Huawei, Sony Experia, Samsung Galaxy..
 
nenda dukani utapata nzuri na warranty utapata
 
Kwanini hutaki ya dukani kuna kitu kinaitwa HTC.
 
Habari zenu wadau,

Nina Tsh. 320,000/= natafuta Smartphone nzuri iwe used n au mpya lakini iwe kwenye hali nzuri bado.

Brand: Huawei, Sony Experia, Samsung Galaxy..

nna s3 mkuu 270 tuu n pm kama inakubaliki
 
Smart phone siyo nzuri sana kwa usalama wa kazi/biashara yako labda kama huna serious rivals. Ni rahisi sana MTU kupata habari zako
 
Smart phone siyo nzuri sana kwa usalama wa kazi/biashara yako labda kama huna serious rivals. Ni rahisi sana MTU kupata habari zako

Hahaha marival wabongo machoko tuu kaka hawana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…