Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,409
Nimeedit post ipi?Mlikatazwa ku edit post original za watu.
Nimeedit post ipi?Mlikatazwa ku edit post original za watu.
Kulingana na rank ya ubora wa specs alituonesha mkuue, LCD ni ya nneUbora wake mdogo umeujuwaje?
Upo sahihi kabisa:Kulingana na rank ya ubora wa specs alituonesha mkuue, LCD ni ya nne
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Mkuu nimeona Hisense smart tv, yenye netflix,youtube, prime, HDMi video, showmax,deod,dstv, viu,vidaa1smart os. Inch 43 nimeona inaonueshq vzr.Upo sahihi kabisa:
1.QLED
2.OLED
3.LED
4.LCD
5.DLP
6.Plasma panels
7.DTV
Ipo katika ngazi gani kati ya hizo nilizotaja hapo?Ubora wa TV haupimwi kwa netflix wala youtube,nimeshaweka vigezo hapo juuMkuu nimeona Hisense smart tv, yenye netflix,youtube, prime, HDMi video, showmax,deod,dstv, viu,vidaa1smart os. Inch 43 nimeona inaonueshq vzr.
Unashauruje
Upande huu upo vizuri sanaUbora wa TV unapimwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni:
A.Screen techs, ambapo kuna:
1.QLED:Quantum Light Emmiting Diode
2.OLED:Organic Light Emmiting Diode
3.LED:Light Emmiting Diode
4.LCD:Liquid Crystal Display
5.DLP: Digital Light Processing
6.Plasma panels
7.DTV: Direct TV
Jinsi unavyoshuka chini kutoka namba moja kuja namba saba ndivyo ubora wa TV unavyopungua.
B.Resolution,ambapo kuna resolution tano:
1.8K
2.4K
3.1080p
4.720P
5.480P
Kadri unavyoshuka kutoka namba moja kuja namba tano ndivyo ubora wa TV unavyopungua.
Hii maana yake ni kwamba unaponunua TV hakikisha kuwa upo angalao kwenye tatu bora ya hivyo vitu viwili hapo juu.
C:Tech nyinginezo
Kuna tech nyinginezo muhimu sana za kuangalia kama vile HDR na Dolby.TV zenye HDR na Dolby ni TV bora sana.Unaponunua TV yako angalia pia kama ina tech hizi mbili.
Wewe upo vizuri sana kwenye ushungi.Upande huu upo vizuri sana
Huna adabu.Wewe upo vizuri sana kwenye ushungi.
4k smart tv ndiyo wamesemaIpo katika ngazi gani kati ya hizo nilizotaja hapo?Ubora wa TV haupimwi kwa netflix wala youtube,nimeshaweka vigezo hapo juu
Umenyoosha mkuu ningekuwa karibu ningekupiga bia!Ubora wa TV unapimwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni:
A.Screen techs, ambapo kuna:
1.QLED:Quantum Light Emmiting Diode
2.OLED:Organic Light Emmiting Diode
3.LED:Light Emmiting Diode
4.LCD:Liquid Crystal Display
5.DLP: Digital Light Processing
6.Plasma panels
7.DTV: Direct TV
Jinsi unavyoshuka chini kutoka namba moja kuja namba saba ndivyo ubora wa TV unavyopungua.
B.Resolution,ambapo kuna resolution tano:
1.8K
2.4K
3.1080p
4.720P
5.480P
Kadri unavyoshuka kutoka namba moja kuja namba tano ndivyo ubora wa TV unavyopungua.
Hii maana yake ni kwamba unaponunua TV hakikisha kuwa upo angalao kwenye tatu bora ya hivyo vitu viwili hapo juu.
C:Tech nyinginezo
Kuna tech nyinginezo muhimu sana za kuangalia kama vile HDR na Dolby.TV zenye HDR na Dolby ni TV bora sana.Unaponunua TV yako angalia pia kama ina tech hizi mbili.
Ni nzuri.Je,ni LED,OLED au ni QLED?4k smart tv ndiyo wamesema
Ilimradi inaonesha pichaKwa hiyo wewe kigezo chako ni inches 55 basi?