Natafuta smart TV TCL inch 55

Upo sahihi kabisa:
1.QLED
2.OLED
3.LED
4.LCD
5.DLP
6.Plasma panels
7.DTV
Mkuu nimeona Hisense smart tv, yenye netflix,youtube, prime, HDMi video, showmax,deod,dstv, viu,vidaa1smart os. Inch 43 nimeona inaonueshq vzr.
Unashauruje
 
Mkuu nimeona Hisense smart tv, yenye netflix,youtube, prime, HDMi video, showmax,deod,dstv, viu,vidaa1smart os. Inch 43 nimeona inaonueshq vzr.
Unashauruje
Ipo katika ngazi gani kati ya hizo nilizotaja hapo?Ubora wa TV haupimwi kwa netflix wala youtube,nimeshaweka vigezo hapo juu
 
Ubora wa TV unapimwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni:

A.Screen techs, ambapo kuna:

1.QLED:Quantum Light Emmiting Diode

2.OLED:Organic Light Emmiting Diode

3.LED:Light Emmiting Diode

4.LCD:Liquid Crystal Display

5.DLP: Digital Light Processing

6.Plasma panels

7.DTV: Direct TV

Jinsi unavyoshuka chini kutoka namba moja kuja namba saba ndivyo ubora wa TV unavyopungua.

B.Resolution,ambapo kuna resolution tano:

1.8K

2.4K

3.1080p

4.720P

5.480P

Kadri unavyoshuka kutoka namba moja kuja namba tano ndivyo ubora wa TV unavyopungua.

Hii maana yake ni kwamba unaponunua TV hakikisha kuwa upo angalao kwenye tatu bora ya hivyo vitu viwili hapo juu.

C:Tech nyinginezo

Kuna tech nyinginezo muhimu sana za kuangalia kama vile HDR na Dolby.TV zenye HDR na Dolby ni TV bora sana.Unaponunua TV yako angalia pia kama ina tech hizi mbili.
Upande huu upo vizuri sana
 
Umenyoosha mkuu ningekuwa karibu ningekupiga bia!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom