PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 376
- 735
Nipo Moshi, nafuta TV hiyo kwa reasonable price, iwe katika hali nzuri.
Good Idea, hivi dukani zinarange bei gani kwa sasa?Hivi vitu sio vya kununua used
Ingia dukani kata pochi
Haa😂😁😀😀Kwa hiyo wewe kigezo chako ni inches 55 basi?
Hajui kwamba kuna TV inchi 55 za technojia ya enzi za Yesu?Haa😂😁😀😀
Yaani Nchi Ngumu Sana
Anawaza Ukubwa Nadhani Ienee Ukuta
Nazo ni smart?Hajui kwamba kuna TV inchi 55 za technojia ya enzi za Yesu?
Mkuu ninachomaanisha hapa ni kwamba tv ya inchi 55 ya mwaka 1990 ni tofauti kabisa na TV ya inchi 55 ya mwaka 2015 au ya mwaka 2021.Unaponunua TV ni lazima useme kuwa unataka techs gani,tofauti na hapo utaishia kuuziwa makopo.Nazo ni smart?
Huyu bwana hajawaza hayo.Mkuu ninachomaanisha hapa ni kwamba tv ya inchi 55 ya mwaka 1990 ni tofauti kabisa na TV ya inchi 55 ya mwaka 2015 au ya mwaka 2021.Unaponunua TV ni lazima useme kuwa unataka techs gani,tofauti na hapo utaishia kuuziwa makopo.
Hapana.Hatapewa latest kwa sababu katika maduka yetu ya Afrika kumejaa makopo kuliko latest.Huyu bwana hajawaza hayo.
Na anajua aksema smart atapewa latest
Nawewe unachukua muda kuelewa, yaan katika maelezo umeona inch 55 tu, nimesema iwe smart TV piaKwa hiyo wewe kigezo chako ni inches 55 basi?
Smart TV zipo za aina nyingi.Zipo za QLED,OLED,LED,LCD,DLP,Direct TV na Plasma.Pia zipo za resolution tofauti tofauti kama vile 8K,4K,1080P,720P,480P.Kwa hiyo kusema tu kwamba unataka iwe ni smart TV haitoshi.Nawewe unachukua muda kuelewa, yaan katika maelezo umeona inch 55 tu, nimesema iwe smart TV pia
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Na iwe TCL piaNawewe unachukua muda kuelewa, yaan katika maelezo umeona inch 55 tu, nimesema iwe smart TV pia
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ok, naomba nielimishe basi mfano nikienda dukan nichague ya aina gani kati ya hizo OLED ulizomentiont, resolution gan ndo bora. Ila iwe TCLSmart TV zipo za aina nyingi.Zipo za QLED,OLED,LED,LCD,DLP,Direct TV na Plasma.Pia zipo za resolution tofauti tofauti kama vile 8K,4K,1080P,720P,480P.Kwa hiyo kusema tu kwamba unataka iwe ni smart TV haitoshi.
Ubora wa TV unapimwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni:Ok, naomba nielimishe basi mfano nikienda dukan nichague ya aina gani kati ya hizo OLED ulizomentiont, resolution gan ndo bora. Ila iwe TCL
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Shukran sana kwa ushauri ulio bora kabisaUbora wa TV unapimwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni:
A.Screen techs, ambapo kuna:
1.QLED:Quantum light emmiting diode
2.OLED:Organic light emmiting diode
3.LED TV
4.LCD:Liquid Crystal Display
4.DLP: Digital light processing
5.Plasma panels
6.DTV: Direct TV
Jinsi unavyoshuka chini kutoka namba moja kuja namba sita ndivyo ubora wa TV unavyopungua.
B.Resolution,ambapo kuna resolution tano:
1.8K
2.4K
3.1080p
4.720P
5.480P
Kadri unavyoshuka kutoka namba moja kuja namba tano ndivyo ubora wa TV unavyopungua.
Hii maana yake ni kwamba unaponunua TV hakikisha kuwa upo angalao kwenye tatu bora ya hivyo vitu viwili hapo juu.
C:Tech nyinginezo
Kuna tech nyinginezo muhimu sana za kuangalia kama vile HDR na Dolby.TV zenye HDR na Dolby ni TV bora sana.Unaponunua TV yako angalia pia kama ina tech hizi mbili.
Kwa vigezo hivyo inahitaji mtaalamu. Ila hii ndio raha ya jf tunajifunza mengiSmart TV zipo za aina nyingi.Zipo za QLED,OLED,LED,LCD,DLP,Direct TV na Plasma.Pia zipo za resolution tofauti tofauti kama vile 8K,4K,1080P,720P,480P.Kwa hiyo kusema tu kwamba unataka iwe ni smart TV haitoshi.
Mmmmmmm! Kumbe wengi hatujui kitu! Unamwambia muuzaji aiwashe ,ikiwaka na kuonyesha picha vizuri, unaridhika, na kutoa fedha.Ubora wa TV unapimwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni:
A.Screen techs, ambapo kuna:
1.QLED:Quantum light emmiting diode
2.OLED:Organic light emmiting diode
3.LED TV
4.LCD:Liquid Crystal Display
4.DLP: Digital light processing
5.Plasma panels
6.DTV: Direct TV
Jinsi unavyoshuka chini kutoka namba moja kuja namba sita ndivyo ubora wa TV unavyopungua.
B.Resolution,ambapo kuna resolution tano:
1.8K
2.4K
3.1080p
4.720P
5.480P
Kadri unavyoshuka kutoka namba moja kuja namba tano ndivyo ubora wa TV unavyopungua.
Hii maana yake ni kwamba unaponunua TV hakikisha kuwa upo angalao kwenye tatu bora ya hivyo vitu viwili hapo juu.
C:Tech nyinginezo
Kuna tech nyinginezo muhimu sana za kuangalia kama vile HDR na Dolby.TV zenye HDR na Dolby ni TV bora sana.Unaponunua TV yako angalia pia kama ina tech hizi mbili.
Kulingana ba elimu aliyonipa mkuu hapo juu tayari nimeshajua hii yako ubora mdogoIpo LCD PHILIPS 55 inch model 45PFL5706/F7, mtumba toka USA safi kabisa siitumii sababu sitting room ni ndogoView attachment 1885233View attachment 1885244
Mlikatazwa ku edit post original za watu.Hapana.Hatapewa latest kwa sababu katika maduka yetu ya Afrika kumejaa makopo kuliko latest.