Bajeti yangu ni 60 kuanzia maeneo ya Tangibovu mpaka Tegeta.
tegeta skanska patakufaa shoga, kuna mdogo Wang yupo pale nikupe namba YakeBajeti yangu ni 60 kuanzia maeneo ya Tangibovu mpaka Tegeta.
ukitoka Mbuyuni pale kituo cha tatu ndo skanskaNdo wapi mami...nielekeze kidogo
sa namba yake siwezi kuweka public, labda uje inbox shogaNiunganishe naye mamy