Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Wakubwa natafuta simu yenye acces na internet kwa bei hapo juuu. nipo mwanza
mwanza bossipo we uko wap!
Wakubwa natafuta simu yenye acces na internet kwa bei hapo juuu. nipo mwanza
mimi nimesema yenye acces na internet! maana yake unaweza tumia internet kwenye hiyo simuSimu yenye internet huwezi kupata hata kama ungesema milioni hamasini, sema simu yenye uwezo wa kutumia internet
Wakubwa natafuta simu yenye acces na internet kwa bei hapo juuu. nipo mwanza
Kwa bei hiyo mkubwa huwezi pata. Labda kama unataka uuziwe kipande cha sabuniWakubwa natafuta simu yenye acces na internet kwa bei hapo juuu. nipo mwanza
du, poaKama mwanza hakuna panda fast jet uje kariakoo. Huku utapata hata za 15000, zenye internet acces, bluetooth,wifi, ukitaka hata zenye lain nne utapata
hata used sipati!Kwa bei hiyo mkubwa huwezi pata. Labda kama unataka uuziwe kipande cha sabuni
hata kama zinatengenezwa tandale!simu yenye uwezo wa internet mkuu, kwa 50000, labda ya kichina tekno.hebu jichangechage upate hata 150000 ili uweze hata kuupload tupicha kido bwana.
Binamuuuuuuuuu
nambie ndugu! nimepotea kitambo humu
nimekimbia hapo town. nimejenga limebomoka now nipo mtwara najenga kiwanda cha kuchakata gesisi nilisikia wewe ni mkandarasi, wajenga gorofa gani now?