E.A.MWAKYUSA
Member
- Nov 7, 2014
- 65
- 4
Jamani wadau natafuta simu ya smartphone kwa bei ya elfu 70 kwa yeyote mwenye nayo anicheki kwa namba 0784791233. Nipo dar

mkuu nina Nokia 3310 na Siemens twanga pepeta ni PM tufanye biashara.

acha ushenzi wewe.........wattu wapo serious afu we unaleta upumbavu wakoHizo Zinapatikana Sana Stendi Za Mabasi Hizi Zifuatazo :
1. Manzese.
2. Mwenge Sheli Ya PUMA.
3. Mtoni Mtongani.
4. Buguruni Sheli Ya Rozana.
5. Mabibo.
-Ukizikosa Ktk Hivyo Vituo Tajwa Hapo Juu Basi Wewe Huna Haja Ya Kumiliki Simu. Kazi Kwako!
Jamani wadau natafuta simu ya smartphone kwa bei ya elfu 70 kwa yeyote mwenye nayo anicheki kwa namba 0784791233. Nipo dar
Nenda vodashop wanasimu zile za vodafone smartphone za elfu 70 na 80.
Pia kama unaamini mitumba nenda kwenye maduka ya mitumba kariakoo ila wakupe warranty atleast 1 month.
acha ushenzi wewe.........wattu wapo serious afu we unaleta upumbavu wako