Natafuta simu used, samsung galaxy (gt -i8190) siii mini

Natafuta simu used, samsung galaxy (gt -i8190) siii mini

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Kwa mwenye kuuza simu iliyotumika samsung galaxy s3 mini, tafadhari nipatie bei na contact zako.
 
Ipo mkuu ni Tsh. 350,000 haipungui bt mstari wa crack kwa mbali.
 
Attachments

  • 1381495947219.jpg
    1381495947219.jpg
    60.5 KB · Views: 135
  • 1381495962947.jpg
    1381495962947.jpg
    77.9 KB · Views: 112
Thank you dudes gonna check.. somebody just called me to go have a look.
 
Ni kweli. Mi nina SIII mini nikaona ya mwingine ni majanga ni feki yake na inamsumbua sana
 
Mkuu,
Nitajuaje kama ni feki?
Tafadhari unaweza nipa ujuzi hapo.

Sio mtaalam sana wa simu ila vitu kama RAM ni half ya real one,internal memory wanasema ni 8gb ila sio kweli ni kama 158mb nadhan kitu kama hcho,alaf ile nembo ya samsung inafutika ya mbele na nyuma...kamera haiko sawa haitoi picha nzur kama real one na vitu kama hvyo

Mi niliiona kwa mtu baada ya kuchunguza vitu kama hvyo nikagundua hakuna kitu hapo Mchina did it again!

But ukiwekewa hapo kwa kuziangalia tu hakuna tofauti
 
Thanks Mkuu.
Kuna mtu mmoja amenipigia nikaione amesema internal memo ni 16gb na ram ni 1gb.. kama nikikuta ni kweli unadhani inaweza kuwa orijino?
 
ukitaka kujua kama ni fake tumia hizi code kuhakikisha *#0*# alafu ok kama ni original itakuletea rangi za kila aina na uta press test itakuwa inakuletea rangi kwenye display
 
Thanks Mkuu.
Kuna mtu mmoja amenipigia nikaione amesema internal memo ni 16gb na ram ni 1gb.. kama nikikuta ni kweli unadhani inaweza kuwa orijino?

hyo internal ukiangalia itasoma hvyo lakn usiamn kle kilichoandkwa kwenye cm we chomeka kwenye computer ndio ilete hzo gb.. nshakutana na moja ukisoma yenyewe internal inaandka sawa ila ukiweka kwenye pc inaleta vituko tu mb km 100
 
Me nauza galaxy ace gt 5830 f kama kuna anaehitaji ni call 0654203587
 
Back
Top Bottom