Natafuta simu nokia, sony ericsson yenye megapixel 8

Natafuta simu nokia, sony ericsson yenye megapixel 8

Mosesmufasa

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Habari za muda wakuu, natafuta simu za kizamani za nokia au sony ericsson kama nokia n86 zenye camera yenye megapixel 8 au zaidi hata isipokua smartphone iwe na uwezo huo wa camera. Mwenye nayo aweke namba za mawasiliano nitamtafuta. Napatikana moshi na arusha. Asante
 
Back
Top Bottom