natafuta simu hii

  • Thread starter edward snowdern
  • Start date

E

edward snowdern

Senior Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
139
Likes
0
Points
0
E

edward snowdern

Senior Member
Joined Nov 30, 2013
139 0 0
tecno p5 mwenye kuweza kuipata anpm hapa na bei pia ahsante
 
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
11,480
Likes
15,356
Points
280
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
11,480 15,356 280
Hizi Tecno zimetokewa kupendwa na Watanzania siku hizi.
 
J

jacben90

Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
58
Likes
2
Points
15
J

jacben90

Member
Joined Jul 29, 2013
58 2 15
Zipo kariakoo za kutosha na ni za ukwel balaaa na ndo hii natumia hapa ni noumaaa sanaa
 
chaUkucha

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
3,242
Likes
327
Points
180
chaUkucha

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
3,242 327 180
simu ya kichina ukiiwasha inazima!
 
Criss

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Messages
824
Likes
1
Points
35
Criss

Criss

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2011
824 1 35
simu ya kichina ukiiwasha inazima!
Ndege ikipita angani inakuandikia missed call ....lol.
(hebu mcheck huyu mshkaji hapa mnaweza kwenda sawa 0767540212)
 

Forum statistics

Threads 1,236,869
Members 475,318
Posts 29,270,366