Natafuta simu aina ya Blackberry

Natafuta simu aina ya Blackberry

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
wajaman ndugu zangu natafuta cm aina ya blackberry used kwa kiasi cha laki tatu.!!
 
Brackberry bado hazijatoka mkuu labda blackberry unaweza kupata.
 
wajaman ndugu zangu natafuta cm aina ya brackberry used kwa kiasi cha laki tatu.!!
Unatafuta simu eeeh BRACKBERRY!

Sifa zake unazijua ka ni kweli wataka Brackberry!
Niliziweka juzi hapa ngoja wadau watakuambia... moja ni utata kwenye jina!😛layball:
 
wajaman ndugu zangu natafuta cm aina ya brackberry used kwa kiasi cha laki tatu.!!
Ongeza mpunga huo nina Blackberry Torch 9800 slide & touch screen, ipo kwenye Good condition.

Njoo kwa pm tumalize biashara.

BlackberryTorchstuffs.jpg
 
Ninayo blacberry curve. Njoo tuwasiliane
 
Cheki na huyu mdada,
0755 532 666,
Anayo yake anaiuza
 
Njoo PM nkuuzie BB9780 ukiiona utataka kuongeza hyo laki3 yako,hali ni nzuri mnoo,imetumika 3weeks

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
nnayo blackberi 9700 kali nakuuzia 250000 tu nipigie 0659197822
 
Nipe 150 nikuachie hii bb9300 ina 3G

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tupeane bhasi izo namba za cm niwatafute wajaa zangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom