ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Unaweza nisaidia indicative prices zao kama hutojali na ni za brand ganiNenda ofisi za KAMAKA wanauza kwa bei nzuri sana!
Ofisi zao zipo oppst na Azam TV, Mandla Rd next ya Kiwanda cha Nyati.
Au ofis nyingine yao ipo Nyerere Rd, opp na Airport!
Unaweza nisaidia indicative prices zao kama hutojali na ni za brand gani
OKKiboko ni Matank ambayo quality yake ni chini ukilinganisha na Simtank/Polytank.
Kwa mtazamo wako lknKiboko ni Matank ambayo quality yake ni chini ukilinganisha na Simtank/Polytank.
Polytank vs kiboko? Asee utakuwa mgeni wa haya madude I guess.Kiboko ni Matank ambayo quality yake ni chini ukilinganisha na Simtank/Polytank.
Hapa mkuu ni nyumbani kwa ntu? Mbona kuchafu namna hiyo?View attachment 448490 mzigo huo hapo ina week tu haujatumika kabisa sababu za kuuza anahamia mwanza anataka mia nne yaan laki nne dukan lali tano na 70 mwenye huyo pichan haina udalali namba yake hii0655791199
unataka kaz ya kdusafishHapa mkuu ni nyumbani kwa ntu? Mbona kuchafu namna hiyo?