Natafuta shule ya kufundisha somo la geography

Joined
Jul 25, 2016
Posts
24
Reaction score
13
Ndg watanzania, wadau wa elimu na wamiliki wa taasisi za kielimu, natafuta ajira ya ualimu ktk somo la geografia kwa vidato vyote yaani kidato cha kwanza hadi cha sita, shule yoyote na katika mazingira yoyote ndani na nje ya tanzania. Natumaini litasomwa na kama uko tayari hata kwa ushauri tuwasiliane kupitia namba ya simu 0759 883 351 au barua pepe ananiassalvatory@gmail.com
 
Nina Mdogo wangu kaamua kacha tu kuomba kazi kwa masomo hayo Shule binafsi kumejaa na wanalinga sana awamu hii kama una kitu cha kufanya Fanya tu utapoteza mda wako tu.
Watoto Wa masikini kimbilio lilikuwa ualim lakini sasa ni vilio tu hasa uwe na wazazi walio kusomesha hadi wakauza mifugo mashamba wakiwa na mategemeo kwako ni huzun sana
 
Fungua tuition, chapisha matangazo ya tuition yako na kusambaza shule mbalimbali kutafta wanafunzi ,,,you have to be creative bro
 
Using'ang'anie mjini.. wilayani kwenu utapata kazi au utapata wanafunzi wa tution
 
Unapatikana wapi kwa sasa mkuu?
Nipo Bukoba ndg.. Kama kuna maelekezo tuwasiliane kwa 0759883351

Back
Top Bottom