H Himidt Lengo JF-Expert Member Jan 4, 2018 307 244 Feb 12, 2019 #1 Natafuta shule ya kufundisha physics, Nina shahada ya sayansi katika fizikia (bsc in physics) Nipo jijini Arusha naomba kama kuna mtu anafahamu shule yenye uhitaji, basi anitaarifu PM.
Natafuta shule ya kufundisha physics, Nina shahada ya sayansi katika fizikia (bsc in physics) Nipo jijini Arusha naomba kama kuna mtu anafahamu shule yenye uhitaji, basi anitaarifu PM.