Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 307
- 244
Natafuta shule ya kufundisha physics, Nina shahada ya sayansi katika fizikia (bsc in physics)
Nipo jijini Arusha naomba kama kuna mtu anafahamu shule yenye uhitaji, basi anitaarifu PM.
Nipo jijini Arusha naomba kama kuna mtu anafahamu shule yenye uhitaji, basi anitaarifu PM.