mwasambili
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 151
- 77
HABARI WAHESHIMIWA,
BY PROFESSIONAL NI CIVIL ENGINEER(nipo mwaka wa nne nategemea kuhitimu mwaka huu),lakini nina uwezo wa kufundisha masomo ya physics na mathematics(kuanzia form one hadi form six),,kwa muhula ujao huwa tunautumia kuandaa project ambapo binafsi ninategemea kuikamilisha wiki mbili zijazo.
hivyo nitaanza kuwa na nafasi kuanzia tarehe 30/03/2015.
kwa yeyote ambaye ana uhitaji nami tuwasiliane 0769454999
NB.ninatafuta shule za Dar es salaam tu.
natanguliza shukrani za dhati
Kuna Shule Moja Moshi yenyewe inakupa vipindi vitatu kwa week unapewa na Ticket ya ndege kwenda na Kurudi Dar sasa kwa kua Unataka shule za Dar basi poa!
yote naweza kuyamudu ila kwa sasa nimependelea nifundishe kama mwaka mmoja hivi......nina mpango wa kuendelea na mastersKwanini usitafute Center nzuri ukafungua kituo chako? Na vipi ulichagua Civil wati nyota yako ni ya ualimu?