TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,494
- 5,396
Mi ni mwanafunz wa UDSM
nasoma education ya science ,,, wapi naeza pata shule ya kufundisha mathematics au Physics kwa hapa dar? na nina ufaulu mkubwa wa hayo masomo ... ila bodi ya mkopo walinizingua..Na nataka jisomesha mwenyewe nikiwa nafundisha mana home mambo mbaya,,,,