Natafuta shule ya kufundisha masomo ya sayansi

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,426
1,431
Wakuu,

Natafuta shule ya kufundisha masomo ya sayansi, OLEVEL nafundisha Physics, Chemistry and Biology. Kwa Advance nafundisha Chemistry, Nutrition na Biology. Natafuta shule iliyopo Moshi mjini au nje kidogo tu ya mji wa Moshi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom