alfred blakali
Member
- Sep 25, 2022
- 14
- 17
samahanini ndugu zangu naomba msaada, shule nzuri za serikali zinazofundisha PGM
Itakua hujasikia waliomaliza degree wakiambiwa waende VETA usingeulizia A-levelsamahanini ndugu zangu naomba msaada, shule nzuri za serikali zinazofundisha PGM
Usimtishe dogo wa watu kwani anashindwa kupiga 1 ya 8 sio kila mtu alifeli mkuuuuunapoteza mda dogo fanya hivi nenda chuo pata diploma unga degree, form six ukizingua unarudia cheti za form tena
Kama pesa ipo kwani lazima aende veta tena [emoji19]Itakua hujasikia waliomaliza degree wakiambiwa waende VETA usingeulizia A-level
Basi akimaliza aende akasomee ufundi VETAUsimtishe dogo wa watu kwani anashindwa kupiga 1 ya 8 sio kila mtu alifeli mkuuuu
Asante, good idea alafu vipi chemistry na geographyFuata hatua hizi
1. Chagua mkoa unaotaka kwenda
2. Angalia matokeo ya necta ya shule kadhaa mkoa huo.
3. Chagua shule yoyote yenye matokeo mazuri.
4. Nenda kasome hiyo shule.
NB. Matokeo yako ya mwisho shule inachangia asilimia 50 na kichwa chako 40. Goodluck
nawishi kusomea miambaKwanini PGM
Kufanya Kazi Airport kama mfagiaji au?nawishi kusomea miamba
kufanya kazi airport
au software engineering
Sijaelewa swali vizuri, umemaanisha (i). Ipi ina topics nyingi kwa advance?Asante, good idea alafu vipi chemistry na geography
ipi Ina course nyingi