Habari wadau,
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu , shule nzuri ya English medium ngazi ya nursery. Kama ukiweza kunishirikisha mawasiliano yao , kama vile namba ya simu , link ya ukurasa wa Facebook au website na email kama vipo.
Natanguliza Shukrani zangu.