shule za masista ni nzuri sana kuanzia secondary ila kwa shule za msingi siyo wazuri sana ni wakali sana kwa watoto
Ungetaja na level kama ni advance au ordinary labda ungepata msaada vzuri zaid
Amesema mtoto.wake kamaliza la saba mkuu, mtu akimaliza la saba baada ya hapo anaenda advance level??Ungetaja na level kama ni advance au ordinary labda ungepata msaada vzuri zaid
Amesema mtoto.wake kamaliza la saba mkuu, mtu akimaliza la saba baada ya hapo anaenda advance level??
mlete mkuu day secondary shule ni ya kutwa na bweni.ipo wilaya ya rombo mabweni yanamilikiwa na parokia ya mtakatifu sesilia mkuu!!!mimi nimeanzia hapo o level na sasa nipo hapo advance.shule ni ya serikali