Habari wana jf, natafuta shule ambayo mtu anaweza kusoma pre form five, simaanishi tution centres hapana nataka shule kabisa ambayo inachukua wanafunzi wa pre form five hatakama hawatosoma hapo.
Ziwe za da plz,,,,
[emoji38] [emoji38]da ndio wapi? Tuanzie hapo kwanza.