Natafuta shirika la watoto la kujitolea

Spokesperson

Member
Sep 21, 2015
19
7
Hi wadau,

Muhitimu wa degree natafuta shirika lolote la msaada (hasa linalohusika na mambo ya wanawake au watoto) ninaloweza kufanya kazi za kujitolea.

Tatizo huwa pale ambapo hata unapojaribu kutuma maombi ya kujitolea, wao hawakujibu. Hii inakatisha tama kiukweli. Kwamba kujitolea nako kwahitaji uzoefu?

Tusaidiane katika hili jamani. Nipo tayari kufanya kazi mahala popote na mazingira yoyote yale. PM me the links

Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom