mavado
JF-Expert Member
- Jun 25, 2014
- 1,158
- 816
Jamani niko na duka la vyakula na matumizi mengine ya nyumbani, nahitaji mtu wa kuwa naye share, maana nina kazi nyingi sana hivo siwezi kuwa dukani Muda wote, duka lina mtaji wa 4. 5 million, profit per month ni laki 4 - 6 hivo nahitaji mtu wa kugawana nae mtaji nusu kwa nusu... Pia tutafuata legal terms