Wakuu,
Kwa aliye mwenyeji wa lake zone, natafuta shamba eneo la Sengerema (highway ya Mwanza-Sengerema)
Yaani liwe ni jirani ya Kigongo ferry au hata vijiji vya jirani yake, likiwa kwenye ukingo wa ziwani litanifaa zaidi
Tafadhali niPM kwa mawasiliano zaidi