Natafuta shamba la kufugia kuku ya kukodi

Natafuta shamba la kufugia kuku ya kukodi

Maulid jnr

Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
66
Reaction score
60
Habari za muda wa kuu , natafuta farm/shamba la kufugia kuku lenye mabanda makubwa yanayoweza kuingiza kuku takriban 50,000 au zaidi kwaajili ya kukodi.

Mambo muhimu kama umeme na maji viwepo site karibuni tushirikiane kwenye hili asanteni.

Kwa mawasiliano zaidi nicheki namba hii 0783150130

Nb: shamba /farm iwe Dar es Salaam au maeneo ya karibu na Dar es Salaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom