Joninho
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 572
- 621
Tanga maeneo gani unafuga mkuu vp huuzi vifaranga? Namim ni watangaZipo ekari tatu za wazi. Unaweza kukunua au kukodisha. Mimi nafuga ktk eneo la ekari 20 nyingine. Nina mashine za kutotolea vifaranga karibu na shamba. Shamba lipo umbali wa km 2 kutoka barabara kuu iendayo Tanga mjini. Shamba lipo km 16 kutoka Tanga mjini. Nipigie 0658 288 733. Nataka jirani ili tuwe na economies of scale. Ofa hii mwisho ni tarehe 30 April. Baada ya hapo naweza kuwa na mipango mingine.