Aika Mndumii
Senior Member
- Jan 19, 2013
- 164
- 47
Nina mashamba bagamoyo kama ekari 2000 hivi, nitumie SMS au Whatsapp kwenye +255769142586 (usipige tafadhari)

Bagamoyo ya wapi mkuu?
sasa mkuu ukisema nisikupigie biashara itafanyikaje? kwa whatsapp au SMS?
Nina mashamba bagamoyo kama ekari 2000 hivi, nitumie SMS au Whatsapp kwenye +255769142586 (usipige tafadhari)
Hii kali,yaani asipige?
Haya acha mziki uendelee,msije kuibuka kina Kitomar wengine
Kwa hilo la usipigiwe acha niendelee kuwa mshamba,Busy ndio wapi hata sim usipigwe.Biashara kichaa kweli,yaani dunia hii biashara inafanywa kizamani namna hii,kazi kweli
Mnunuzi ukihisi usumbufu nenda kwa mwenyekiti wa Serikali za mitaa wa maeneo husika,wanakuwa na majina ya wamiliki wa mashamba,wao wataku connect nao na kuamua wapi utataka.

Asante mkuu kwa ushauri. Hii inaweza kuwa sehemu nzuri ya kuanzia.
Kwa hilo la usipigiwe acha niendelee kuwa mshamba,Busy ndio wapi hata sim usipigwe.Biashara kichaa kweli,yaani dunia hii biashara inafanywa kizamani namna hii,kazi kweli
Mnunuzi ukihisi usumbufu nenda kwa mwenyekiti wa Serikali za mitaa wa maeneo husika,wanakuwa na majina ya wamiliki wa mashamba,wao wataku connect nao na kuamua wapi utataka.
asante kiongozi. ukipata contact zao usisite kunipatia
cha ajabu nini? Watu wengine bana.Hii kali,yaani asipige?
Haya acha mziki uendelee,msije kuibuka kina Kitomar wengine
cha ajabu nini? Watu wengine bana.