Natafuta sehemu yakufundisha kwa muda masomo ya Physics na Mathematics

psagala1

Senior Member
Feb 18, 2014
156
101
Natafuta sehemu yakufundisha kwa muda masomo ya Physics na Mathematics, nina Bachelor of Electronics&Communication na nna uwezo wakufundisha masomo tajwa......napatikana Dar es Salaam. Kama kuna nafasi sehemu naomba tuwasiliane wadau. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom