ivyo si issue. Cha muhimu Dalal au mtu anayejua sehm dar yenye mazungira mazuriii Kwa office ndan ya budget tajwa Kwa mwezi !! Anichek maelezo mengine tutaongea . Wastan office ya watu 3Habari mkuu, kwani wewe ni mgeni hapo Dar es salaam?
Mbon hutaji ukubwa wa ofisi, hutaji location unayotaka, hutaji mazingira ya ofisi yaweje?