Natafuta sehemu ya kujitolea upande wa Procurement au store

Mwambie aongeze juhudi kwenye masuala ya networking...
80% ya ajira hazitangazwi...

Kweli mkuu wangu hata mi kazi niliyopata hapa haikutangazwa na kila uchao watu wanaongezwa then matangazo ya kazi hifuata....

Networking inalipa kwakweli tatizo ndugu zetu hawaelewi hili.....
 
Tanzania yetu ndio nchi ya furaha,nae mwl Nyerere ndie wetu muhifadhi,Tanzania yetu ndio Nchi ya furahaaa....!
 
Kweli mkuu wangu hata mi kazi niliyopata hapa haikutangazwa na kila uchao watu wanaongezwa then matangazo ya kazi hifuata....

Networking inalipa kwakweli tatizo ndugu zetu hawaelewi hili.....

Asanteeee! wewe umeshakuwa conected kwenye network yenyewe. ukiona hizo nafas nipm
 
Kama afya yake iko njema, basi namshauri ajiunge na JKT akakomae huko akimaliza atakuwa na sifa za kuajiriwa na serikali hususan vyombo vya ulinzi na usalama.Huko procurement yake inalipa na ataitumikia nchi yetu akiwa shupavu kabisa.

  • :wave:
 
Acha uongo we kijana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…