Natafuta sehemu ya kujitolea(internship), ajira au shughuli yoyote ya kuniweka bize

Me nampa ushauri dogo kutokana na nafasi yangu, sio lazima tuwe sawa kimtazamo , Fanya yako achana na mm ,nimekwambia niquote hujafanya alafu unanilazimisha nisome micomment yote acha ulafa
unachoelezwa ndo kiko sahihi mimi kwenye maisha yangu siwez mpigia mtu magoti never bora nife na umasikini wangu kuna kijana nimemwacha pale anafanya kazi ila ni manyanyaso sana ila hana choice,, nina makosa yangu ndio ila ubinadamu kwanza haiwezekani uniletee godoro la nchi mbili tena chafu chafu nilalie kisa sina maisha never labda kama sijitambui
#huyo madam simtuhumu ila hana ubinadam japo kuwa ana mafanikio
 
Kimsingi, wakati tunahangaikia sehemu za kujishikiza hata Kwa kazi za 'deiwaka' huwa tunaona mwitikio wa waru kutuamini na kutuajiri ni mdogo. Kumbe kuna wenzetu walishaiharibu sifa yetu tayari.

Nimesikitika sana kuona mtu msomi ana '"claim' kuwa shughuli aliyopewa kuifanya himjengei future.

Ama kweli penye miti hapana wajenzi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
sijasema hainijengei future! hata kama huwez mlipa mtu yani mtu afanye kazi bila hata kunywa chai wakat huo uwezo unawezekana??? kama unaweza fanya hivo wewe kafanye hizo kazi mi sitokuja weza asee
 
Kuna wanaijeria ninawajua Wana masters wanauza flash mitaani. Hizi sio story tembeeni muone.

Huku kujiona kwa wasomi uchwara wa TANZANIA ndiko kunawapa maisha magumu. Binadam huwezi kuwa Kama jiwe lazima uwe na flexibility kutokana na mazingira. Inakuaje elimu ikuzuie kufanya baadhi ya kazi. Sasa hapo utasema elimu imekusaidia au inakudumaza.

Mtu anakataa kazi ya chips ya 7000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni almost 300,000 ila unamkuta anaajiriwa na kampuni za simu Kama customer care analipwa 170,000 kwa mwezi na ana enjoy.
kwa namna moja au nyingine....faida yake ni kwamba inamuongezea uzoefu wa kazi ambayo inaweza kumpa nafasi ya kupata kazi sehem zingine. kwahio saa ingine it is not about how much you earn ni swala la kuangalia mbali.....maana hio customer care ipo within his field of study, sio kuuza chips.
 
unachoelezwa ndo kiko sahihi mimi kwenye maisha yangu siwez mpigia mtu magoti never bora nife na umasikini wangu kuna kijana nimemwacha pale anafanya kazi ila ni manyanyaso sana ila hana choice,, nina makosa yangu ndio ila ubinadamu kwanza haiwezekani uniletee godoro la nchi mbili tena chafu chafu nilalie kisa sina maisha never labda kama sijitambui
#huyo madam simtuhumu ila hana ubinadam japo kuwa ana mafanikio
Ndio nakwambia elimu yako haijakusiadia , kuenda kuanza kufanya kazi ambayo unahisi itakudhalilisha , ungeacha mapema kabla hujaanza kazi ,

NB: Kama huwezi kunyeyekea watu , kamwe usitafute kazi au usifanye kazi za watu ,Fanya kazi zako mwenyewe full stop
, LA sivyo kila sehem utaona unanyanyasika
 
Naive!
itakuwa ndiyo limekujaza moyo.

kijana apambane na genge lake akisubiri kazi za ndoto yake.

huwezi kuwa una biashara nzuri ukafika mahali biashara huelewi ukasacriface biashara yako kwa Hiyo isiyoeleweka.
😂 watu mpo fasta kumlaumu anyenyanyaswa kwanini alifanya hivi au hakufanya vile. Lakini anyenyanyasa haguswi.
 
Ndio nakwambia elimu yako haijakusiadia , kuenda kuanza kufanya kazi ambayo unahisi itakudhalilisha , ungeacha mapema kabla hujaanza kazi ,

NB: Kama huwezi kunyeyekea watu , kamwe usitafute kazi au usifanye kazi za watu ,Fanya kazi zako mwenyewe full stop
, LA sivyo kila sehem utaona unanyanyasika
Amekaa wiki tu. Au mwenzetu unaona wiki ni karne?
 
sijasema hainijengei future! hata kama huwez mlipa mtu yani mtu afanye kazi bila hata kunywa chai wakat huo uwezo unawezekana??? kama unaweza fanya hivo wewe kafanye hizo kazi mi sitokuja weza asee
Binafsi pia ni fresh graduate. Na nina skills nyingi huenda hata kukupita. Ila do you have idea of what i've been doing for living?
You don't wanna know.

Ila mbali na kuomba kazi ilionesha ulikuwa na kiburi, kwa maana kuwa ulikuwa na backup plans.

Man kama unataka kutoboa you must toil

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi pia ni fresh graduate. Na nina skills nyingi huenda hata kukupita. Ila do you have idea of what i've been doing for living?
You don't wanna know.

Ila mbali na kuomba kazi ilionesha ulikuwa na kiburi, kwa maana kuwa ulikuwa na backup plans.

Man kama unataka kutoboa you must toil

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
sio kwa kutoboa huku maisha ni mafupi huwezi kunisotesha njaa afu nikuvumilie kisa nataka kutoboa! kutoboa matundu au?
 
Mnaomtetea huyo mwajiri wake huyu kijana na nyie ni ma exploiters.
Na anaweza kufanya hivyo kwasababu watu wapo desperate kupata ajira. Na siyo yeye tu wako wengi sana.
Eti be humble my foot.
Bora umekimbia na kama kweli umeondoka na mali mrusishie huyo bosi wako uendelee na maisha.
Kwanini hakuondoka siku ya kwanza?
Kwanini hakuaga ili aondoke kwa amani?

#YNWA
 
Wewe nawe ni hewa tu, mnapenda kutumia watu kwa manufaa yenu, there is more in this story!

Huyu Dogo si mbaya kama unavyofanya, umemuanika Kijana wa watu bila sababu kwa mawasiliano ambayo yanawahusu nyie wawili!!!!!

Ujafanya vizuri kabisa! Kazi yeyote means related tu, hata typing, sio kuchoma chips! Hii sio sawa!
Unapotoa hoja achana na kejelii

""Wewe nawe ni hewa tu"" unapotoa hoja punguza kejeli.

Kwanini hakukataa Kazi siku ya kwanza kabisa?

Kwanini akimbie na asiage, ana HATIA GANI MPAKA AKIMBIE?

#YNWA
 
Kwanini hakuondoka siku ya kwanza?
Kwanini hakuaga ili aondoke kwa amani?

#YNWA
Kwa amani ulitaka amshukuru mwajiri kwa manyanyaso?
Kwani wiki ni karne kwamba alikaa sana?
Hata angeondoka siku hiyo hiyo mngemlaumu kwanini alienda.
Na kama mlizoea kunyenyekewa kama miungu watu kwasababu watu wanashida ndo hivyo sasa amewakomesha.
 
Back
Top Bottom