Natafuta sehemu ya kufanyia biashara maeneo ya Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta sehemu ya kufanyia biashara maeneo ya Arusha

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Michael Amon, Apr 24, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ninatafuta sehemu ya kufanyia biashara maeneo ya Arusha kwa ajili ya kufanyia biashara ya kuuza vifaa vya electronics. Sehemu hiyo iwe mjini inayoelekwa na rahisi kufikika hata kwa kumuelekeza mtu. Pia sehemu hiyo iwe na ulinzi wa kutosha. Kwa atakayepata eneo hilo awasiliane nami kupitia anwani zifuatazo:-

  Phone: +255789884221
  E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Njoo hapa kona ya Ilboru(half london) nikupe sehemu ufungue dula lako hilo.
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Hiyo sehemu ipo wapi mkuu?
   
Loading...