Exformer JF-Expert Member Joined Nov 12, 2018 Posts 863 Reaction score 1,003 May 3, 2023 #1 Habari wana JF, Nina imani mungu amewabariki uzima na wale ambao afya zao si njema basi Mungu awaponye kwa uwezo wake. Turudi hapa, mimi ni Mhitimu wa shahada ya uchumi wa maendeleo ya jamii. Kwa sasa najitafuta kupata uzoefu hivyo ninahitaji sehem ya kupata uzoefu. Ni wazi maeneo baadhi ninaweza kushughulika nayo iwe kweny mashirika, NGOs na sekta binafsi. Sina uzoefu ila maeneo haya ninaweza kuwepo Social worker Hospital-social welfare department Halmashauri-Community Development NGOS PRIVATE SECTORS N.k 0628849189 Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF, Nina imani mungu amewabariki uzima na wale ambao afya zao si njema basi Mungu awaponye kwa uwezo wake. Turudi hapa, mimi ni Mhitimu wa shahada ya uchumi wa maendeleo ya jamii. Kwa sasa najitafuta kupata uzoefu hivyo ninahitaji sehem ya kupata uzoefu. Ni wazi maeneo baadhi ninaweza kushughulika nayo iwe kweny mashirika, NGOs na sekta binafsi. Sina uzoefu ila maeneo haya ninaweza kuwepo Social worker Hospital-social welfare department Halmashauri-Community Development NGOS PRIVATE SECTORS N.k 0628849189 Sent using Jamii Forums mobile app