Unapatikana wapi mkuu..Sony bravia pya ndan ya box led 32 ni pm fasta nkupe tv ila unaongeza kidgo
Habarini wadau natafuta screen inchi 32 Sing sang au sony au samsung nina 550000/= mwenye nayo iwe kwenye hali nzuri ani PM
Unapatikana wapi mkuu..
Habarini wadau natafuta screen inchi 32 Sing sang au sony au samsung nina 550000/= mwenye nayo iwe kwenye hali nzuri ani PM
Achana na mambo yakuongeza kidogo, kuna duka posta mpya kama upo dar, linaitwa Ms Megji, wanauza TLC 32" tsh 560000/= unapewa na deck ya samsung Bureee
Yea, wanatoa offer sana za mara kwa mara kwa vitu mbalimbali, na wana customer care nzuri sana, wanakubali malipo ya awamu. Pia hata ukiwa mkoa ukiwapigia simu, mnaongea wana arrange kukutumi Mzigo.
Hiv juz walikuwa wanauza DVD Deck za Samsung kwa Tsh 50000/= tu

Niko moro ila ukifika dau nakuletea mzigo dar unaukagua fresh kwa garama yangu sony bravia 32" LED
Wako posta mpya mtaa gani?
mkuu tunaweza pata direction yake hilo duka