Natafuta satellite finder

murid

Member
Joined
Jul 21, 2010
Posts
44
Reaction score
3
Mwekufahamu hiki kifaa kinapopatikana nahitaji msaada kesho nitakuwa dar naomba na bei yake ,tafadhali
 
Mwekufahamu hiki kifaa kinapopatikana nahitaji msaada kesho nitakuwa dar naomba na bei yake ,tafadhali

Kwa arusha zinapatikana CONNY electronics. sijacheki bei hivi karibuni
 
sattelite finder ndio nini na zinafanya kazi gani?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…