Kuna mtu yeyote yule anaweza kunambia wapi naweza kupata kupata santuri za jackie wilson ?
Nenda internet cafe mpe mtu kazi akudownloadie...au na uwezo wa cafe huna bado unataka used?Uwezo wa kuagizia huko sina ,natafuta hapa hapa Tz kama kuna duka la second hand