Ila mchina noma😂 from 2.5m anakupa kwa 350k🙌Ninazo boss. Original 2.5m mchina 350k
Wakati huo s21 ultra 5g utauza bei gani?!Ninazo boss. Original 2.5m mchina 350k
Hajawahi kufaa hata kidogo mchinaIla mchina noma😂 from 2.5m anakupa kwa 350k🙌
Nakazia swali hiliWakati huo s21 ultra 5g utauza bei gani?!
KAMA sio mtunzaji wa simu , usinunue hiyo simu kioo bei mbaya sanaJamani nina ndoto ya kumiliki samsung s 20+. Ningependa kujua, kwa dukani napata kwa sh ngapi?
🤣🤣🤣 ndio jeDuh kumbe simu nazo zina ndoto?