Natafuta samsung galaxy

Natafuta samsung galaxy

Bible

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
136
Reaction score
8
Nina 130000 natafuta simu aina ya samsung Galaxy yenye uwezo mkubwa katka kila kitu.ila nipo mwanza mwenye nayo anatafute 0762369619:
 
Utapewa ya wizi ukaozee jela,kwani maduka huyajui?
 
Nina 130000 natafuta simu aina ya samsung Galaxy yenye uwezo mkubwa katka kila kitu.ila nipo mwanza mwenye nayo anatafute 0762369619:

Galaxy ziko aina nyingi sana, lakini kwa hiyo bei yako sidhani kama utapata hata kagalaxy young!!!!! halafu unasema yenye UWEZO MKUBWA!
 
pesa inaongezwa ikipatika ya ukwel
 
Mkuu nina samsung galaxy pocket ni nzuri sana ongezea buku ten nikupe simu ya uhakika....
 
Nina 130000 natafuta simu aina ya samsung Galaxy yenye uwezo mkubwa katka kila kitu.ila nipo mwanza mwenye nayo anatafute 0762369619:

Nina galaxy aApollo ametumia wifi yako kama miezi kadhaa hivi; iangalie specs kwenye net kwanza then ukija huku uje na laki na ishirini tu !!
 
Jaman mwenye Galaxy S naomba anitafute kweny namb hiyo juu.
 
Nina galaxy aApollo ametumia wifi yako kama miezi kadhaa hivi; iangalie specs kwenye net kwanza then ukija huku uje na laki na ishirini tu !!

ikiwa Galaxy S fresh kaka.
 
We usjali wala usiogope. Tunasaidiana hapa. Kitu ukikichoka mwenzio anakihitaji. Kama mpo wenye nayo mpeni mshkaj. Nina apple kama wataka broo.
 
Samsung Galaxy S for 130,000Tsh sound like a joke. May be if you duplicte your money, I mean 260,000Tsh.
 
We usjali wala usiogope. Tunasaidiana hapa. Kitu ukikichoka mwenzio anakihitaji. Kama mpo wenye nayo mpeni mshkaj. Nina apple kama wataka broo.

man ee nikikosa galaxy tutamake deal
 
man wew shuka nikupe pesa c unajua mambo magumu pesa yasumbua mno.

Your problem is, you don't know which phone you want.

Mu Suggestion: Because there are more than 50 galaxie in the market by now, it is better if you do your simple research (kind of homework) and choose 1 you like most. Then post its name here...

Apple product are more expensive than.Samsung. For your price, you will get a fake one.
 
Back
Top Bottom