Natafuta samsung galaxy S2

Natafuta samsung galaxy S2

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,064
Kama kuna mtu anauza galaxy S2 kwa 250000 basi tufanye biashara chap.. nipo dar ...

N.b isiwe imechoka sana ....hata ikiwa used ila isiwe mbovu mbovu
 
Kama kuna mtu anauza galaxy S2 kwa 250000 basi tufanye biashara chap.. nipo dar ...

N.b isiwe imechoka sana ....hata ikiwa used ila isiwe mbovu mbovu

Mi niko safarini naingia Dar jioni sana. naweza kukuuzia kama utaongeza 50,000. yangu ni used japo bado iko bomba sana.
 
Duh, Mkuu 250k unapata s2 mpya kabisa yani kwenye box na accesories zake
 
Kama kuna mtu anauza galaxy S2 kwa 250000 basi tufanye biashara chap.. nipo dar ...

N.b isiwe imechoka sana ....hata ikiwa used ila isiwe mbovu mbovu

ipo hapa inakuja na kitkat 4.4.4 latest android version kali kuliko za wte hapa mana nmeweka custom ROM nchek 0767879784
 
mkuu kama upo serious tuwasiliane utumiwe s2 original mpya toka ng'ambo.tunaofis dar yakuuza simu so utafata ofisin within 3days.ikizingua wthin 1 year utarudsha endapo tu hujapeleka kwa fundi.guarantee haihusishi screen problems.
 
Back
Top Bottom