Habari wadau!!
Naomba msaada wa kupata contacts za wauzaji wa majiko ya ROTARY OVEN ya kuokea mikate kama zinazoonekana kwenye picha,ziwe mpya au used.
Namba yangu ni 0683370065
Kama unatoka kamata kuelekea mnazimmoja kuna kituo kinaitwa goldstar maeneo hayo kuna duka linauza vifaa vya hoteli, kuna sanamu ya chef kwa nje , unaweza pata hapo.
search vics machines.com hao ndo main suppliers wako china wan kila aina za oven proofer visu vya mikate na mengineyo shipment wiki 2 unapata vifaa vyako full set ya bakeryequipments kwa 15_ 20m.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.